Thursday, 24 November 2016

VIJANA WAJASILIAMALI WACHANGAMKIA FURSA KUTENGENEZA SHANGA



https://www.facebook.com/boniphace.nyabweta?fref=ts

VIJANA WAJASILIAMALI WACHANGAMKIA FURSA KUTENGENEZA SHANGA





Vijana wajasiliamali wakiwa katika mafunzo ya kutengeneza urembo wa Shanga baada ya kupata somo kutoka kwa Mkufunzi Peninnah katika mafunzo hayo Biashara kwa Vijana kuelekea Soko la AFrika Mashariki yanayoendelea kwenye Hoteli ya Blue Pearl Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam. (Picha na Mafoto Blog)
Vijana wakichangamkia bidhaa kuanza kutengeza Shanga
Vijana wajasiliamali wakirefresh kwa kucheza mchezo wa kujichangamsha..........
Mkufynzi akitoa maelekezo ya mchezo huo....
TANGAZO

0 comments:

Post a Comment