PICHA20: Ulipofikia upanuzi wa Barabara ya Rais Magufuli Mwanza.
on
Moja kati ya ahadi ya Rais Magufuli
ni kuona Jiji la Mwanza linakuwa kwenye muonekano mzuri wa miundombinu
na hakuna foleni ya magari kwa mtu anaetoka Mwanza kati kuelekea
Airport ya Mwanza.
Agizo la Rais Magufuli tarehe 26 April
2016, ni pesa zaidi ya bilioni 2 zilizokuwa zitumike kwenye sherehe za
muungano zitumike kufanya upanuzi wa barabara ya Mwanza – Airport
kuanzia eneo la Ghana Quarter hadi uwanja wa ndege wa Mwanza.
Ujenzi upo kwenye hatua nzuri na kuna
sehemu magari yanapita kwenye barabara mpya Ghana hadi kona ya Bwiru na
ujenzi umefikia eneo la Nyamanoro hadi Pasiansi Mwanza, millardayo.com imezipata picha za upanuzi wa barabara ulipofikia kwenye hayo maeneo.
UNGANA NA ALICE TUPA KWENYE UCHAMBUZI WA MAGAZETI YA JANUARY 08,2017 KUTOKA AYO TV? UNAWEZA KUIANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI
TANGAZO
0 comments:
Post a Comment