DKT. SHEIN AZINDUA HOSPITALI YA KISASA YA ABDALLAH MZEE KISIWANI PEMBA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Balozi wa China Nchini Tanzania Mhe,Lu Youqing wakikata utepe kuizindua Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba leo,iliyojengwa na Kampuni ya Kichina Jiang SU Ltd
Wananchi waliohudhuria katika uzinduzi wa Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba iliyozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo,ambayo imejengwa na Kampuni ya Kichina Jiang SU Ltd
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Balozi wa China Nchini Tanzania Mhe,Lu Youqing (kushoto) na Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Alipotembelea Chumba cgdhi mbali mbali ali Iddi wakati akitembelea sehemu mbali mbali za Jengo la Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba baada ya kuizindua rasmi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiangalia mashine za kuchunguzia maradhi mbalimbali wakati alipotembelea Chumba cha Maabara katika Hospitali ya Abdalla Mzee Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba baada ya kuizindua rasmi leo akiwa na Balozi wa China Nchini Tanzania Mhe,Lu Youqing (katikati) na Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) na Mkurugenzi wa huduma za Hospitali Mohamed Dahoma na Viongozi wengine wakiwa katika chumba cha uchunguzi wa matatizo ya uti wa mgongo baada ya kuizindua rasmi Hospitali ya Abdalla Mzee iliyopo Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba 26/11/2016. (PICHA NA IKULU YA ZANZIBAR)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) na katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt.Juma Malik Akil wakifuatana na Viongozi wengine wakati alipotembelea Hospitali ya Abdalla Mzee iliyopo Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba baada ya kuizindua rasmi leo (kulia) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe, Mwanajuma Majid hospitali hii imejengwa na Kampuni ya Kichina Jiang SU Ltd
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono wananchi mara baada ya kutembelea sehemu mbali mbali za Hospitali ya Abdalla Mzee iliyopo Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba baada ya kuizindua rasmi leo (kulia) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe, Mwanajuma Majid hospitali hii imejengwa na Kampuni ya Kichina Jiang SU Ltd
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake kwa wananchi wa Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba na Viongozi mbali mbali baada ya kuizindua Hospitali ya Abdalla Mzee leo ambayo imejengwa na Kampuni ya Kichina Jiang SU Ltd
TANGAZO
0 comments:
Post a Comment