PICHA: Vijana 131 wafuzu mafunzo ya Polisi Jamii
By Salma Mrisho on November 24, 2016
Vijana 131 wa mtaa wa Manga na Nyakabale Mjini Geita wamemaliza mafunzo ya Polisi Jamii yaliyodumu kwa miezi minne ambapo kwa sasa watahusika na jukumu la ulinzi katika maeneo yao.
Viongozi waJeshi la Polisi,Serikali na Mgodi waDhahabu wa Geita ambao wamefadhili mafunzo hayo.
Mmoja wa wahitimu wa mafunzo ya Polisi Jamii akipokea cheti cha kufuzu mafunzo hayo kutoka kwa mgeni rasmi Msaidizi wa Kamisheni ya Polisi Jamii nchini Ahmada Abdallah.
Mkurugenzi Mtendaji wa GGM Terry Mulpeter akipikea zawadi kutoka kwa moja ya kikundi cha nyombo za asili ya Kikuriya aamacho kilitumbuiza.
Picha ya pamoja na wahitimu
TANGAZO
0 comments:
Post a Comment