Saturday, 5 November 2016

PATA KIONJO CHA MUVI MPYA YA JIMMY MASTER 'THE FOUNDATION' IPO MTAANI



https://www.facebook.com/boniphace.nyabweta?fref=ts

PATA KIONJO CHA MUVI MPYA YA JIMMY MASTER 'THE FOUNDATION' IPO MTAANI








Nyota wa filamu za Action hapa Tanzania Jimmy Mponda au Jimmy Master, mkongwe maarufu kama J.Plus hatimaye ametimiza kilicho kuwa kinahitajika mtaani, msanii huyo ametoa taarifa njema kwa fans na wadau mbali mbali kuwa, Ile filamu yake mpya iliyo takiwa kutoka mwezi wa 7 mwaka huu 2016,
"The Foundation" (Misingi) sasa ipo mtaani.

Filamu hii amecheza pia nyota Sebastian Mwanangulo maarufu kama Inspector Seba. Hivyo wewe ni mdau mkubwa wa Filamu hizi anza kutembelea kwenye maduka yaliyo karibu yako ili uweze kujipatia Copy Orignal ya "The Foundation". Akipiga stori na mwandishi wetu Jimmy Master amesema haya

"Naamini kuwa mlipenda sana filamu zangu zilizo pita like 'Misukosuko' Shamba kubwa, na zinginezo hivyo naomba muipokee "The Foundation" coz ni kazi nzuri sana ukweli nimeitendea haki yake,kama unahitaji filamu hii Tafadhali chukua namba kwenye hiyo Poster piga uweze kupata Copy yako".


TANGAZO

0 comments:

Post a Comment