DKT. SHEIN ZIARANI PEMBA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na wakuu wa vyombo vya ulinzi nausalama Kisiwani Pemba, mara tu baada ya kuteremka kwenye ndege iliyoleta ksiwani humo Novemba 5, 2016 tayari kuanza ziara ya kikazi ya siku tano kukagua na kuzindua muiradi ya maendeleo. (PICHA NA IKULU TYA ZANZIBAR)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiteremka katika Ndege ya Shirika la Ndege la AIR Tanzania mada baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Karume Pemba, Rais akiwa kisiwani humo atafungua miradi mbali mbali ya Maendeleo, Novemba 5, 2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe ya Ufunguzi wa Jengo la Mahakama kuu ya Chake chake zilizofanyika leo Viwanja vya Mchezo wa Tenis Chakechake Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiwa na Jaji Mkuu wa Zanzibar, Mhe. Omar Othman Makungu (kushoto) wakiwa katika sherehe ya Ufunguzi wa Jengo la Mahakama kuu ya Chake chake zilizofanyika Viwanja vya Mchezo wa Tenis Chakechake Pemba.
Jaji Mkuu wa Zanzibar, Mhe. Omar Othman Makungu
akitoa hotuba yake.
akitoa hotuba yake.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu (wa pili kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Ussi (wa pili kulia) na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Katiba, Utumishi wa Umma na Utawala Bora mara baada ya kulifungua jengo la Mahakama kuu ya Chake Chake Pemba akiwa katika ziara ya siku tano kisiwani humo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo wakati alipotembelea sehemu mbali mbali baada ya kulifungua jengo la Mahkama kuu ya Chake chake Pemba akiwa katika ziara ya siku tano kisiwani humo (kushoto) Jaji Mkuu wa Zanzibar
Mhe. Omar Othman Makungu.
Baadhi ya wananchi kutoka shehia mbali mbali katika Wilaya ya Chake chake Pemba wakiwa katika sherehe za Ufunguzi wa Jengo la Mahakama kuu ya Chake chake lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika ziara ya siku tano kisiwani humo.
Majaji wa Mahkama Kuu na Wananchi pamoja na Wafanyakazi wa Idara hiyo wakiwa katika sherehe ya Ufunguzi wa Jengo la Mahakama kuu ya Chake chake lililofunguliwa Chakechake Pemba na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika ziara ya siku tano kisiwani humo.
TANGAZO
0 comments:
Post a Comment