|
Gari lililombeba
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa likipita kwenye daraja la bwawa la kuzalisha
umeme Kituocha Kuzalisha Umeme cha Mtera kwenye mpaka wa mkowa
Dodoma na Iringa Januari 19, 2017. Mheshimiwa Majaliwa alifanya ziara
fupi ya kukagua kina cha maji kwenye bwawa hilo . (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
|
0 comments:
Post a Comment