Thursday, 19 January 2017

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA RAIS MSTAAFU MKAPA NA WAZIRI WA MAENDELEO WA DENMARK IKULU JIJINI DAR LEO

https://www.facebook.com/boniphace.nyabweta?fref=ts

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA RAIS MSTAAFU MKAPA NA WAZIRI WA MAENDELEO WA DENMARK IKULU JIJINI DAR LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimlaki Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa ikulu jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Januari 19, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa ikulu jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Januari 19, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimsindikiza Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa baada ya maongezi yao ikulu jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Januari 19, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Maendeleo wa Denmark Mhe. Martin Bille Herman Ikulu jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Januari 19, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Maendeleo wa Denmark Mhe. Martin Bille Herman Ikulu jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Januari 19, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na Waziri wa Maendeleo wa Denmark Mhe. Martin Bille Herman na ujumbe wake pamoja na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Philip Mpango na Katibu Mkuu Wizara hiyo Mhe. Dotto James Ikulu jijini Dar es Salaam leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Waziri wa Maendeleo wa Denmark Mhe. Martin Bille Herman  wakiwa pamoja na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango na Katibu Mkuu Wizara hiyo Mhe. Dotto James Ikulu jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Januari 19, 2017. (PICHA NA IKULU)

TANGAZO

0 comments:

Post a Comment