UFUNGUZI RASMI WA MAONESHO YA KATUNI NA VIBONZO MAKUMBUSHO YA TAIFA DAR
Mgeni Maalum,Masoud Kipanya akiwa na Mkurugenzi wa Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Bw Achiles Bufure (kushoto) pamoja na Rais wa Chama cha Wasanii na Wachongaji Tanzania (CHAWASAWATA), Adrian Nyangamalle,Mwenyekiti wa Chama cha Wachoraji Katuni Tanzania, Nathan Mpangala wakikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa maonesho ya katuni na vibonzo leo katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam.
Mgeni Maalum, Masoud Kipanya akizungumza na wadau mbalimbali katika hafla ya uzinduzi wa maonesho ya katuni na vibonzo katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam Oktoba 20-2016.
Picha ya pamoja.
Mwenyekiti wa Chama cha Wachoraji Katuni Tanzania,Nathan Mpangala akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa maonesho ya katuni na vibonzo katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam.
Wadau wa maonesho ya katuni na vibonzo wakifurahia ufunguzi huo katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam.
Wadau wa maonesho ya katuni na vibonzo wakifurahia ufunguzi huo katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam.
Wadau wa maonesho ya katuni na vibonzo wakianganlia maonesho katika furahia ufunguzi huo katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha Wachoraji Katuni Tanzania, Nathan Mpangala akimwelekeza jambo Issa Michuzi 'Ankal' wakati wa uzinduzi wa maonesho ya katuni na vibonzo.
Mgeni Maalum, Masoud Kipanya akiwa na Mkurugenzi wa Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni, Achiles Bufure (kulia) pamoja na Rais wa Chama cha Wasanii na Wachongaji Tanzania (CHAWASAWATA), Adrian Nyangamalle (kushoto) na mdau.
Wadau katika ufunguzi rasmi wa maonesho ya katuni na vibonzo katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam.
(Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii)
TANGAZO












0 comments:
Post a Comment