MHE. MAJALIWA ATEMBELEA SHAMBA LA NG'OMBE LA ASAS LILILOPO IRINGA
Posted By Boniphace S. Nyabweta
On 3:15:00 AM
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akisalimiana na Mkurugenzi wa
Kampuni ia SAS, Bw. Salim Abri wakati alipokwenda kwenye shamba la
ng'ombe la ASAS lililoko nje kidogo ya mji wa Iringa Januari 19, 2017.
(Picha na Ofisi ua Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa akitazama ukamuaji ng'ombe wa maziwa katika shamba la
Ng'ombe la ASAS nje kidogo ya mji wa Iringa Januari 19, 2017. Wa pili
kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Iringa, Amina Masenza.
Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa akizungumza na wakurugenzi wa kampuni ya ASAS baada ya
kutembelea shamba la ng'ombe la ASAS nje kidogo ya mji wa Iringa Januari
19, 2017. Kulia ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,
William Lukuvi.
0 comments:
Post a Comment