Wakuu wa Idara katika Halmashauri waonywa
By Salma Mrisho on September 29, 2016
Naibu waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na serikali za mitaa TAMISEMI Suleiman Jafo amesema baadhi ya maeneo Wakuu wa Idara wamekua ndio chanzo cha kuua vipaji vya watumishi wanaofanya kazi wakiwa na hofu kuwa wakiwapa nafasi huenda wakachukua vyeo vyao.
Akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Mbogwe na Bukombe kwa nyakati tofauti amesema pia baadhi yao wamekuwa kikwazo cha kuwapandisha baadhi ya watumishi madaraja na kusababisha malalamiko.
TANGAZO


0 comments:
Post a Comment