Thursday, 29 September 2016

RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO.



https://www.facebook.com/boniphace.nyabweta?fref=ts

RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO.

Na: Boniphace S. Nyabweta

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa kabla ya kuanza kwa Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 29, 2016.
 
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongoza Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 29, 2016.
 Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na balaza la mawaziri jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Profesa Justin Ntalikwa.
TANGAZO

0 comments:

Post a Comment