Wadau wa Sekta ya Madini Mkoa wa Geita wakutanishwa

Kutoka Kulia ni Afisa Madini Musimu Kabasa,Fabian Mshai Kaimu Afisa Madini Mkazi Mkoa wa Geita,Christopher Kadeo ambaye ni Mwenyekiti wa Wachimbaji Mkoa wa Geita wakiwa na Mgeni Rasmi Mkuu wa Wilaya ya Geita Herman Kapufi katika Ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Madini.

Wachimbaji wakiwa makini kusikiliza mada mbalimbali zinazotolewa na wataalamu.

Afisa Mwandamizi huduma na Elimu Kanda ya Ziwa Lutufyo Mtafya kutoka TRA akitoa elimu kwa wachimbaji umuhimu wa kulipa kodi na kutunza kumbukumbu za kazi zao.

Wadau kutoka Shirika la Hifadhi ya Jamii Mkoa wa Geita nao walikuwepo kutoa elimu.


Afisa Madini Musimu Kabasa akizungumza na wadau wa madini.

TANGAZO


0 comments:
Post a Comment