ROBO TATU YA WATU WALIOPO GEREZANI NCHINI TANZANIA SIO WAFUNGWA
Mkurugenzi wa Legal Services Facility, Scholastica Julu, akizungumza na wadau waliofika katika hafla ya miaka mitano ya LSF.
Wajumbe wa Bodi wa Legal Services Facility katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa bodi ya Lsf , Joaquine De Mello (wa pili kulia)
Mwenyekiti wa bodi ya Lsf , Joaquine De Mello akiakabidhi hundi kwa mmoja wa wanufaika.
Mnufaika wa Ruzuku kutoka tasisi ya TEWORECakinyoosha hundi yake juu yenye thamani ya shilingi bilioni moja
Wanufaika wa Ruzuku wakiwa katika picha ya Pamoja na Wajumbe wa bodi

Mkurugenzi wa Legal Services Facility (LSF), Scholastica Julu, akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa LSF.

Na Humphrey Shao
WITO umetolewa kwa wadau wa sheria kusaidia kupunguza mahabusu Magerezani kutokana na wingi wao ambao aikuwa lazima kuweka humo .

Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa bodi ya Shirika la kisheria lisilo la kiserikali la Legal Services Facility (LSF), Joaquine De Mello, wakati wa hafla ya miaka mitano ya shirika
hilo na kukabidhi fedha kwa mashirika mapya ya wanaufaika.

“Nimeweza kuzunguka magereza yote nchini na kujionea namna gani wafungwa walivyojazana
kwa wingi lakini robo tatu ya wafungwa waliopo humo ni mahabusu ambao awaja hukumiwa” alisema Jaji Joaquine De Mello

Aliongeza kuwa imefika wakati wa wasaidizi wa kisheria kuanza kuwasaidia watu kwa nagazi ya
vituo vya Polisi ambapo huko wanaweza kupata dhamana kabla ya kufika magarezani.

Kwa upande wake, Scholastica Julu, Mkurugenzi mtendaji wa Shirika hilo alisema kuwa shirika hilo limeweza kutoa fedha zaidi ya Bilioni ishirini kwa mashirika mbalimbali nab ado litaendelea kutoa hili kuweza kusaidia wasaidzi wa kisheria na Mashirika yanayowasimamia.
Alisema kuwa wameweza kupokea changamoto ya usafiri kwenye baadhi ya mikoa na kama shirika wanalifanyia kazi hilo swala hili waweze kutatua tatizo hilo kwa wasaidizi wanaofanya kazi hiyo kwa mazingira hayo magumu.
TANGAZO

0 comments:
Post a Comment