Kama utakuwa unakumbuka hivi karibuni msanii wa Bongo Fleva, Baraka Da Prince kutoka kwenye label ya Rockstar 4000 aliingia kwenye headlines baada ya mpenzi wake Najma kuonekana kuwa kama mkalimani wake kwenye interview ya MTV Base.
‘Sasa wabongo walifurahi wengine
wakasema nimeshindwa kuongea kingereza kwangu mimi nimeitangaza lugha
yangu ya kiswahili halafu Najma hakuwa mkalimani wangu mimi bali alikuwa
anawambia yule mtangazaji kile ninachokizungumza mimi’- Baraka Da Prince
TANGAZO


0 comments:
Post a Comment