Taarifa iliyotolewa na Ikulu leo
August 21 2016 imesema kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Gabriel Fabian Daqarro kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha. Gabriel Fabian Daqarro
anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Mrisho Mashaka Gambo ambaye
ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Uteuzi wa Bw. Gabriel Fabian
Daqarro unaanza mara moja.
0 comments:
Post a Comment