Sunday, 21 August 2016

Licha ya kusajiliwa usitegemee kumuona Asano Takuma akiichezea Arsenal msimu wa 2016/2017



https://www.facebook.com/boniphace.nyabweta?fref=ts
Najua utakuwa ni mmoja kati ya mashabiki wa soka waliyosikia usajili huu wa majira ya joto kuwa klabu ya Arsenal ilifanikiwa kumsajili mshambuliaji wa kijapan Asano Takuma mwenye umri wa miaka 21, ila tayari Arsenal imecheza mechi mbili za EPL bila ya uwepo wa staa huyo, kitu ambacho Arsene Wenger amekitolea ufafanuzi.
Kocha wa Arsenal Arsene Wenger amethibitisha kuwa staa huyo wa kimataifa wa Japan imeshindikana kuichezea Arsenal msimu huu kwa sababu amekosa kibali cha kufanyia kazi England, Wenger ameyasema hayo baada ya kumalizika kwa mchezo kati ya Arsenal dhidi ya Leicester City uliyomalizika kwa suluhu ya 0-0.
“Asano hatutakuwa nae msimu amekosa kibali cha kufanyia kazi England kwa sababu sio mchezaji ambaye amegharibu pound milioni 50 nafikiri tutamtoa kwa mkopo kwenda kucheza Ujerumani au Ufaransa, lakini mchezaji ambaye na uamini sana uwezo wake
TANGAZO

0 comments:

Post a Comment