Thursday, 5 January 2017

MAPINDUZI CUP YANGA YAIBAMIZA ZIMAMOTO 2-0



https://www.facebook.com/boniphace.nyabweta?fref=ts

MAPINDUZI CUP YANGA YAIBAMIZA ZIMAMOTO 2-0


Golikipa wa Timu ya Yanga Deogratius Munisi 'Dida' akiwa hewani akidaka mpira wakati wa mchezo wao wa kombe la Mapinduzi Cup leo mjini Zanzibar. Yanga inmeshinda kwa mabao. 2-0. (Picha na Othman Maulid)
TANGAZO

0 comments:

Post a Comment