Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa George Simbachawene ameshangazwa na Halmashauri ya Mji kushindwa kuanza ujenzi wa Halmashauri hiyo hali ya kuwa fedha zilishaletwana Serikali pamoja na Mgodi wa Dhahabu wa Geita ulitoa kiasi cha fedha bilioni 1.5 na kufanya jumla ya fedha zote kuwa bilioni 2.5 lakini ujenzi haujaanza.
Amesema kuwa amepata taarifa katika fedha hizo kuna kiasi cha zaidi ya milioni 100 zimeshachezewa na wajanja na kuagiza mkoa kuchukua hatua za kiuchunguzi.
TANGAZO
0 comments:
Post a Comment