Thursday, 8 December 2016

MWENYEKITI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI (EAC) RAIS MAGUFULI AKUTANA NA MKE WA MWANZILISHI WA NCHI YA SUDAN KUSINI REBECCA NYANDENG DE MABIOR NA UJUMBE WAKE DAR ES SALAAM LEO



https://www.facebook.com/boniphace.nyabweta?fref=ts

MWENYEKITI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI (EAC) RAIS MAGUFULI AKUTANA NA MKE WA MWANZILISHI WA NCHI YA SUDAN KUSINI REBECCA NYANDENG DE MABIOR NA UJUMBE WAKE DAR ES SALAAM LEO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mke wa Mwanzilishi wa Taifa la Sudani Kusini Rebecca Nyandeng De Mabior aliyefika Ikulu pamoja na ujumbe wake kwa ajili ya mazungumzo.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mke wa Mwanzilishi wa Taifa la Sudani Kusini Rebecca Nyandeng Mabior Ikulu jijini Dar es Salaam. 
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mke wa Mwanzilishi wa Taifa la Sudani Kusini Rebecca Nyandeng De Mabior mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mabior Garang Mtoto wa Mwanzilishi wa Taifa la Sudani Kusini Hayati John Garang De Mabior Ikulu jijini Dar es Salaam. (PICHA NA IKULU)
TANGAZO

0 comments:

Post a Comment