Friday, 9 December 2016

KAMATI YA SIASA MKOA WA GEITA YAANZA ZIARA KUKAGUA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM



https://www.facebook.com/boniphace.nyabweta?fref=ts
Na: Boniphace S. Nyabweta @mawasilianoblog.blogspot.com

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Geita Vijijini Mh. Joseph Kasheku Musukuma, akiwa na Mh. Mkuu wa Mkoa wa Geita Mh. Meja Jenerali mstaafu Ezekiel Kyunga kulia na Mjumbe wa NEC Wilaya ya Geita Leonad Bugomola walipokuwa Kata ya Mosabuka Wilaya ya Nyangh'ale ambapo Kamati ya Siasa ya Mkoa ilipofanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo.



Mh. Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita Joseph Musukumu akiongea na wananchi wa Nyangha'le kulia Mh. Diwani wa Kata ya Mwingilo Wilaya ya Nyanghale

Add caption
 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita Joseph Musukuma akisaini kitabu cha wageni katika Shule ya Sekondari ya Nyangh'ale

Kamati ya Siasa Mkoa wa Geita ikikagua Mradi wa Maji Wilayani Nyangh'ale
 Mkutano wa Kamati ya Siasa Mkoa wa Geita na Waheshimiwa Madiwani.


TANGAZO

0 comments:

Post a Comment