KATIBU MKUU WA CCM KINANA AKUTANA NA BALOZI WA CHINA LEO

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha katika ukumbi wa mazungumzo Balozi wa China hapa nchini Dk. Lu Young, alipowasili katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo .

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa China hapa nchini Dk. Lu Young, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam, leo .
TANGAZO




0 comments:
Post a Comment