KINANA AZUNGUMZA NA WATENDAJI WA CCM WA MIKOA
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Wenyeviti na Makatibu wa CCM wa mikoa, alipokutana nao katika kikao maalum kilichofanyika jana, katika ukumbi wa Sekretarieti kwenye Ofisi Ndogo a Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha Zakia Meghji, na kulia ni Naibu Katibu Mkuu mpya wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo na Naibu Katibu Mkuu mstaafu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi.
Watendaji wakiwa ukumbini
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Wenyeviti na Makatibu wa CCM wa mikoa, alipokutana nao katika kikao maalum kilichofanyika jana, katika ukumbi wa Sekretarieti kwenye Ofisi Ndogo a Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Wengine walioko meza kuu, kutoka kushoto ni Katibu wa NEC, Oganaizesheni, Mohamed Seif Khatibu, Naibu Katibu Mkuu mpya wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo na Naibu Katibu Mkuu mstaafu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi.
TANGAZO
0 comments:
Post a Comment