Friday, 10 November 2017

Taasisi ya Mahusiano na Mawasiliano ya Jamii (GEITA)



https://www.facebook.com/boniphace.nyabweta?fref=ts
Mradi wa "Soma Computer Free" unaotekelezwa na Taasisi ya Mahusiano na Mawasiliano ya Jamii na Shirika la Maendeleo ya Vijana Tanzania Youth Potentials Association (TYPA), kwa kuwapatia Vijana wa Wilaya ya Geita ujuzi wa Elimu ya matumizi ya computer, ujasiriamali na afya ya uzazi.
TANGAZO

0 comments:

Post a Comment