PICHA 3: Rais Magufuli atembelea kibanda alichokuwa akisafishiwa viatu kabla ya kuwa Rais
on
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
nyumbani kwao ametembelea eneo maarufu kama Stendi za zamani Chato
mkoani Geita.
Rais
Magufuli amefika katika kibanda ambacho alikuwa akisafishiwa viatu vyake
kabla ya kuwa Rais, pia ni sehemu ambayo alikuwa akipenda kukaa na
kubadilishana mawazo na wakazi wa Chato wakati akiwa mapumzikoni kipindi
cha Nyuma.

VIDEO: Rais Magufuli alivyotembelea shule ya msingi aliyosomea Chato, Bonyeza play hapa chini kutazama
TANGAZO


0 comments:
Post a Comment