Sunday, 22 January 2017

NAMAINGO YAZINDUA MRADI MKUBWA WA KUKU WA KIENYEJI LINDI



https://www.facebook.com/boniphace.nyabweta?fref=ts

NAMAINGO YAZINDUA MRADI MKUBWA WA KUKU WA KIENYEJI LINDI


 Wakiwa na furaha ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa, Abuu Mjaka akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Namaingo Business Agency Limited, Ubwa Ibrahim baada ya kuzindua Mradi wa Ufugaji  Kuku kwa wanachama 3000 wa kampuni hiyo kutoka mikoa ya Lindi Mtwara na Ruvuma katika hafla iliyofanyika Kijiji cha Miteja, wilayani humo juzi. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG)

 Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa, Abuu Mjaka akifungua mlango katika banda la vifaranga vya mbegu vya mradi huo

 Vifaranga vya mbegu ya kuku wa kienyeji vinavyofugwa kisasa

 Mpiga Picha wa Gazeti la Tanzania Daima, Said Powa ambaye aliliwakilisha kundi la Wananchama Wanahabari la Kwanza One akipokea cheti cha usajili kutoka kwa  Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa, Mjaka wakati wa hafla hiyo

 Kundi la Wanahabari la Kwanza One likishangilia kwa furaha baada ya kukabidhiwa cheti cha kuwa miongoni mwa wanachama watakaoshiriki kwenye mradi huo

 Mbegu za mazao zilizooteshwa kwa ajili ya kulisha kuku



 Mkurugenzi wa Kampuni ya Ufugaji Kuu ya Shitindi Poutry Farm, Shitindi (katikati) akizungumza wakati wa uzinduzi, ambapo aliahidi kununua mayai ya wanachama wa ufugaji wa kuku wa Namaingo.





 Ni burudani kwa kwenda mbele

 Mtalaamu wa ufugaji kuku wa kienyeji akielezea jinsi mfugaji anavyoweza kuzalisha majani ya malisho kwa kutumia mazao mblimbali



 Mkurugenzi Mtendaji wa Namaingo, Ubwa Ibrahim akizungumza wakati wa hafla hiyo

 Sehemu ya umati uliohudhuria hafla hiyo

 Mjaka akihutubia wakati wa hafla hiyo

 Baadhi ya Wananchi wakisikiliza kwa makini hotuba

 Moja ya mabanda ya kuku yaliyoandaliwa kwa ajili ya

Wanachama wakifurahia baada ya kukabidhiwa cheti cha usajiri wa Biashara cha Brela





Mwenyekiti wa Namaingo Mkoa wa Ruvuma akipokea cheti cha Brela

Dk. Hassan Kijaki Mtaalalamu wa Mifugo wa Mkoa wa Lindi akielezea kufurahishwa na kitendo cha Namaingo kuwekeza mradi wa kuku mkoani humo.

Mchumi wa Mkoa wa John Mwalongo akihutubia wakati wa hafla hiyo

Bi Ubwa na Mjaka wakikagua bidhaa mbalimbali za wAJASIRIAMALI ZILIZOFUNGWA KWA NJIA YA KISASA



TANGAZO

0 comments:

Post a Comment