Wednesday, 5 October 2016

RAIS DKT MAGUFULI NA RAIS KABILA WA DRC WASHUHUDIA KUSAINIWA KWA MOU YA USHIRIKIANO NA KUONGEA NA WANANCHI KUPITIA VYOMBO VYA HABARI IKULU JIJINI DAR

https://www.facebook.com/boniphace.nyabweta?fref=ts

RAIS DKT MAGUFULI NA RAIS KABILA WA DRC WASHUHUDIA KUSAINIWA KWA MOU YA USHIRIKIANO NA KUONGEA NA WANANCHI KUPITIA VYOMBO VYA HABARI IKULU JIJINI DAR

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ujumbe wake wakitoka katika mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe Joseph Kabila  na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam leo Oktoba 4, 2016.

 Mawaziri wa Nishati wa Tanzania na DRC wakitia saini mkataba wa makubaliano ya pamoja (MOU) wa utafutaji na uendelezaji wa mafuta katika eneo la upande wa magharibi mwa afrika Mashariki hususan katika ziwa Tanganyika.

 Mawaziri wa Nishati wa Tanzania na DRC wakibadilishana nyaraka
 baada ya kutia saini mkataba wa makubaliano ya pamoja (MOU)  wa utafutaji na uendelezaji wa mafuta katika  eneo la upande wa magharibi mwa afrika Mashariki hususan katika ziwa Tanganyika.

 Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe Joseph Kabila   akiongea na wanahabari Ikulu jijini Dar es Salaam leo Oktoba 4, 2016.

Wajumbe wakimpigia makofi Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe Joseph Kabila wakati  akiongea na wanahabari Ikulu jijini Dar esSalaam leo Oktoba 4, 2016.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt John Pombe Joseph Magufuli  akiongea  Ikulu jijini Dar es Salaam leo Oktoba 4, 2016.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt John Pombe Joseph Magufuli  akiongea  Ikulu jijini Dar es Salaam leo.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt John Pombe Joseph Magufuli  akiongea  Ikulu jijini Dar es salaam leo 

 Wajumbe wakimpigia makofi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt John Pombe Joseph Magufuli  akiongea  Ikulu jijini Dar es Salaam leo 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ujumbe wake wakitoka katika mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe Joseph Kabila  na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam leo Oktoba 4, 2016.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe Joseph Kabila  na ujumbe wake katika picha ya pamoja Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016.

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe Joseph Kabila  na ujumbe wake katika picha ya pamoja na baadhi ya wanahabari Ikulu jijini Dar es Salaam leo Oktoba 4, 2016. (PICHA NA IKULU)
TANGAZO

0 comments:

Post a Comment