MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AELEKEA MKOANI DODOMA KWA ZIARA YA SIKU NNE
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na wananchi wa Chalinze Mkoani Pwani leo Octoba 15, 2016 alipokua njiani kuelekea Mkoani Dodoma kuanza ziara ya kikazi ya siku nne.
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa MlandiziMkoa wq Pwani leo Octoba 15, 2016 alipokua njiani kuelekea Mkoani Dodoma kuanza ziara ya kikazi ya siku nne.

Baadhi ya Wananchi wakimsikiliza Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akiwahutubia,maeneneo ya Mlandizi Mkoa wa Pwani leo Octoba 15, 2016 alipokua njiani kuelekea Mkoani Dodoma kuanza ziara ya kikazi ya siku nne.
TANGAZO





0 comments:
Post a Comment