Sunday, 18 September 2016

MZEE MWINYI AKUSANYA MILIONI 502 MATEMBEZI YA KUCHANGIA WAATHIRKA WA TETEMEKO LA ARDHI KAGERA LEO



https://www.facebook.com/boniphace.nyabweta?fref=ts

MZEE MWINYI AKUSANYA MILIONI 502 MATEMBEZI YA KUCHANGIA WAATHIRKA WA TETEMEKO LA ARDHI KAGERA LEO








ZAIDI ya Shilingi Milioni 502.6 zimekusanywa, jana jijini Dar es Salaam katika matembezi maalum ya kuchagia waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera. Matembezi hayo kilometa 5 yaliongozwa na Rais Mstaafu awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi (wa pili kushoto). Wengine kutoka kushto ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk Augustine Mahiga, Mbunge wa Muleba, Profesa Anna Tibaijuka, Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk Susan Kolimba.
 
 
 
 Rais Mstaafu awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi akianzisha matembezi hayo. 
 
 
 
 Washiriki waki-jiselfier  kabla ya kuanza matembezi hayo. 
 
 
 
 Wafanyakazi wa Kampuni ya Magazeti ya serikali TSN, wachapaji wa magazeti ya Daily News, Habarileo na Spotileo wakipozi kwa picha. 
 
 
 Washiriki wakijiandikisha tayari kwa kushiriki maandamano hayo. 
 
 
 Iran ni miongoni mwa nchi zilizounga mkono matembezi hayo.
 
 
 
  Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadj Mussa Salum akitafakari kabla ya kuanza matembezi hayo.
 
 Balozi Liberata Mulala (kushoto) akizungumza na Profesa Anna Tibaijuka 
 
 Mkuu wa Kitengo cha Mawasilino na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mindi Kasiga akipiga picha.
Father Kidevu naye ni miongoni mwa walioshiriki wa matembezi hayo, hapa akiwa na Prof Anna Tibaijuka na Balozi Liberata Mulamula (kulia) wakipasha.
 
 
 Kupasha moto viungo. BOFYA HAPA KUONA MATUKIO ZAIDI.
TANGAZO

0 comments:

Post a Comment