Monday, 19 September 2016

KISHINDO CHA MSIMU WA TIGO FIESTA CHAACHA GUMZO MKOANI MOROGORO



https://www.facebook.com/boniphace.nyabweta?fref=ts

KISHINDO CHA MSIMU WA TIGO FIESTA CHAACHA GUMZO MKOANI MOROGORO








Wasanii
Vanessa Mdee  na  Juma Jux  wakiimba   pamoja   kwenye   tamasha la Tigo fiesta
lililofanyika uwanja  wa  Jamhuri   mjini  Morogoro   usiku wa jana


Chege akiburudisha maelfu ya mashabiki na wapenzi wa muziki mkoani morogoro katika Jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa jana Mkoani Morogoro


FID Q akitoa michano hatari katika jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa jana katika viwanja vya Jamhuri  mkoani Morogoro.


Mkali wa Dansi Christian Bella akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta katika viwanja vya Jamhuri Mkoani Morogoro usiku wa jana.


Msanii  Manfongo  akiwasha
moto kwenyetamasha la Tigo fiesta lililofanyika uwanja  wa Jamhuri  mjini Morogoro.


Mr Blue katika ubora wake akitumbuiza maelfu ya wakazi wa Morogoro katika uwanja wa Jamhuri


Mkali wa Singeli akitoa burudani kwa mashabiki wake na wapenzi wa burudani walijitokeza katika uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro


Mh. Temba akiwapagawisha wakazi na mashabiki wa mziki toka Morogoro katika jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa jana


Vanessa akiwa na wacheza shoo wake katika kulivamia jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa jana katika viwanja vya Jamhuri Mkoani 
TANGAZO

0 comments:

Post a Comment